Psalms 105:18-20

18 aWalichubua miguu yake kwa minyororo,
shingo yake ilifungwa kwa chuma,
19 bhadi yale aliyotangulia kusema yalipotimia,
hadi neno la Bwana lilipomthibitisha.
20 cMfalme alituma watu wakamfungua,
mtawala wa watu alimwachia huru.
Copyright information for SwhNEN